Mwanariadha Dina Asher-Smith akifurahia baada ya kuweka rekodi ya kuwa mwanamke wa kwanza Uingereza kushinda Medali ya Dhahabu ya mbio za Ulaya mita 200 kuelekea michezo ya Olimpiki mjini Rio, Brazil baadaye mwaka huu. Dina alitumia muda wa dakika 22 na sekunde 37 kumshinda mpinzani wake Ivet Lalova-Collio mjini Amsterdam, Uholanzi jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NBA Rumors: Kevin Durant 'Never Felt Comfortable' With Role in Vogel's Suns
Offense
-
The 2023-24 Phoenix Suns will go down as one of the most expensive
disappointments in NBA history, and Kevin Durant may want changes heading
into next seas...
21 minutes ago
0 comments:
Post a Comment