• HABARI MPYA

    Monday, July 09, 2012

    YANGA NA JKT RUVU TAIFA KESHO, MTIHANI WA KWANZA WA MTAKATIFU THOM

    Ofisa Habari wa klabu ya Yanga, Louis Sendeu akizungumzia mchezo wa kujipima nguvu wa klabu hiyo dhidi ya JKT Ruvu kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa mechi hiyo, Msafiri Mkemi. Kiingilio katika mchezo huo wa kwanza Yanga kucheza chini ya kocha wake mpya Mbelgiji, Thom Saintfiet kitakuwa ni Sh 15,000 VIP A, 10,000 VIP B na C Orange 5,000 na kwingine kote 3,000.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA NA JKT RUVU TAIFA KESHO, MTIHANI WA KWANZA WA MTAKATIFU THOM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top