• HABARI MPYA

  Wednesday, July 20, 2016

  TAMBWE LEYA NA MWENYEKITI BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA YANGA SC

  Kocha wa Yanga, Tambwe Leya (kushoto), raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) akimkabidhi Mwenyekiti wa klabu hiyo, Mangara Tarbu (wote sasa marehemu) Kombe la ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati walilolitwaa mwaka 1975 visiwani Zanzibar kwa kuwafunga watani, Simba SC 2-0 kwenye fainali Uwanja wa Amaan. Mzee Mangara anapewa heshima ya Mwenyekiti bora kuwahi kutokea Yanga, kutokana na namna alivyoifanyia mambo makubwa klabu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TAMBWE LEYA NA MWENYEKITI BORA ZAIDI KUWAHI KUTOKEA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top