• HABARI MPYA

    Wednesday, July 20, 2016

    LIVERPOOL YAIMARISHA UKUTA, YASAJILI BEKI LA BUNDESLIGA

    Beki wa kimataifa wa Estonia, Ragnar Klavan akiwa ameshika jezi ya Liverpool baada ya kukabidhiwa kufuatia kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 5 kutoka Augsburg akisaini Mkataba wa miaka mitatu  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAIMARISHA UKUTA, YASAJILI BEKI LA BUNDESLIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top