Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Ulimwengu kulia akiwa mazoezini na klabu yake, TP Mazembe mjini Lubumbashi, DRC. Nyuma kabisa wa pili kutoka kulia ni Mtanzania mwenzake, Mbwana Samatta. Uli ameanza kucheza kikosi cha kwanza cha mabingwa hao mara nne Afrika na hivi sasa yuko vizuri mno kimchezo.
0 comments:
Post a Comment