Mkurugenzi wa EDGE Entertainment, Edwin James Ngere akizungumza
na Waandishi wa Habari kwenye ukumbi wa City Sports Lounge, katikati ya Jiji
leo wakati wa kutangaza tamasha la wazi la muziki, litakalofanyika Septemba 28
na 29, viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Hamza Kalala
‘Komando’ na Kassim Mapili, wanamuziki wakongwe nchini. Wanaomfuatia Ngere ni
mwigizaji Jaqcueline Wolper, mwanamuziki Juma Ubao, mdau wa sanaa, Hartman
Mbilinyi, Mratibu wa tamasha, Suzane Migesa na wanamuziki wakongwe, John Kitime
na Mafumu Bilal.
|
0 comments:
Post a Comment