Mshambuliaji wa Manchester United, Will Keane (kulia) akishangilia na kiungo Juan Mata baada ya kufunga bao katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Wigan kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa DW, huo ukiwa mwanzo mzuri kwa kocha mpya Mreno, Jose Mourinho. Bao lingine la United lilifungwa na kiungo Andreas Pereira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Mason Greenwood's transfer price tag - and how Man United could
cash in - as Champions League giants hope to capitalise on chaos at
Marseille
-
Manchester United's summer transfer kitty could be boosted by a sell-on
clause for one of their former players.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment