Kiungo Haroun Chanongo (katikati) akiwa ameshika jezi ya Mtibwa Sugar pamoja na Mratibu wa timu hiyo, Jamal Bayser (kulia) na Meneja wake, Jamal Kisongo (kushoto) baada ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo ya Manungu, Morogoro.
Chanongo (kulia) akisaini Mkataba huo pembeni ya Jamal Bayser leo mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment