• HABARI MPYA

    Sunday, July 19, 2026

    YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI


    MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamemtambulisha winga chipukiz, Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC kuwa mchezaji wao wa kwanza mpya kuelekea msimu ujao.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YAMSAJILI WINGA CHIPUKIZI WA FOUNTAIN GATE MWENYE KIPAJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top