KLABU ya Simba imemtambulisha beki wa kulia, Nathaniel Raphael Chilambo (22) kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao akijiunga na Wekundu hao wa Msimbazi kutoka Azam FC.
Anakuwa mchezaji mpya wa pili baada ya kiungo wa ulinzi, Kelvin Nashon Naftali (25) aliyetambulishwa jana kutoka Pamba Jiji FC ya Mwanza.


.png)
0 comments:
Post a Comment