• HABARI MPYA

    Monday, July 20, 2026

    YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC


    KLABU ya Yanga imemtambulisha mshambuliaji chipukizi, Hussein Juma Mihambo (19) kutoka Mashujaa FC kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
    Anakuwa mchezaji wa pili tu mpya baada ya chipukizi mwingine, winga  Juma Issa Abushiri ‘Chuga Boy’ (18) kutoka Fountain Gate FC.
    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC YASAJILI CHIPUKIZI MWINGINE, NI HUSSEIN MIHAMBO WA MASHUJAA FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top