KOCHA Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameita wachezaji 30 kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Zanzibar itakayoshiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari 3, mwakani.
Makipa; Ahmed Ali Suleiman ‘Salula’ (Uhamiaji), Suleiman Said Abraham (KVZ FC), Yakoub Suleiman Ali (JKT Tanzania).
Mabeki: Salum Khamisn Salum ‘Gado’ (JKT Tanzania), Abdallah Said Ali ‘Laso’ (KMC), Sued Juma Hussein ‘Aguero’ (JKU), Adeyum Saleh Ahmed (Geita Gold), Abdulhalim Abdallah Juma (Chipukizi United), Ibrahim Ame ‘Varane’ (Mashujaa), Abdulrahman Seif Bausi (JKT Tanzania), Abdallah Kheri ‘Sebo’ (Azam FC), Mukrim Issa Abdallah ‘Miranda’ (Coastal Union), Abdulmalik Adam Zakaria (Mashujaa), Laurian Omar Makame (Fountain Gate).
Viungo: Khalid Habib Iddi (Singida Black Stars), Abdulaziz Makame ‘Bui’ (Geita Gold), Abdallah Yassin Kulandana (Fountain Gate FC), Hassan Nassor Maulid (JKT Tanzania), Suleiman Saleh Abdallah (KVZ FC), Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ (Azam FC), Hassan Haji Ali ‘Cheda’ (Mashujaa FC), Abdallah Iddi Mtumwa ‘Pina’ (Mlandege FC), Saleh Masoud Abdallah ‘Tumbo’ (Pamba Jiji FC), Shekhan Ibrahim Khamis (Yanga SC), Ali Khatib ‘Inzaghi’ (Uhamiaji FC).
Washambiuliaji: Ibrahim Hamad Hilika (Tabora United), Maabad Maulid Maabad (Coastal Union),Ibrahim Abdallah Ali ‘Mkoko’ (Namungo FC), Rashid Said Salum (Zimamoto).
Timu nyingine zinazotarajiwa kushiriki michuano hiyo itakayofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba ni Tanzania Bara, Kenya, Uganda, Burundi na Burkina Faso na bingwa atazawadiwa Sh. Milioni 100.
0 comments:
Post a Comment