// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEKAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
KAGERA SUGAR YAAMBULIA SARE KWA NAMUNGO, 1-1 KAITABA
WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba mkoani Kagera. Mabao yote yalifungwa na viungo washambuliaji, Hassan Salum Kabunda akianza kuifungia Namungo dakika ya 60, kabla ya Mganda Peter Lwasa kuisawazishia Kagera Sugar dakika nne baadaye. Kwa matokeo hayo, Kagera Sugar inafikisha pointi 14 katika mchezo wa 11 na inabaki nafasi ya 14, wakati Namungo FC inafikisha pointi 10 katika mchezo wa 13, nayo inabaki nafasi ya 15 kwenye ligi ya timu 16.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment