WENYEJI, Kagera Sugar wametoa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera. Kwa matokeo hayo, Kagera Sugar inafikisha pointi 10, ingawa inabaki nafasi ya 14 ikizidiwa pointi moja na zote, Pamba Jiji na Tanzania Prisons zinazofuatana nafasi ya 12 na 13 baada ya wote kucheza mechi 13.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment