// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BABATI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BABATI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
NAMUNGO FC YAICHAPA FOUNTAIN GATE 2-1 PALE PALE BABATI
TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mjini Babati mkoani Manyara. Mabao ya Namungo FC yamefungwa na viungo Pius Charles Buswita dakika ya 10 na Geoffrey Julius Luzendaze dakika ya 78, wakati bao pekee la Fountain Gate limefungwa na winga Salum Kihimbwa dakika ya 30. Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 17 katika mchezo wa 16 na kusogea nafasi ya 11, wakati Fountain Gate wanabaki na pointi zao 20 za mechi 15 sasa nafasi ya sita.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment