// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
ZUBERI FOBA MASUDI AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2027 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEZUBERI FOBA MASUDI AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2027 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
ZUBERI FOBA MASUDI AONGEZA MKATABA AZAM FC HADI 2027
KLABU ya Azam imemuongeza mkataba wa miaka miwili kipa wake wa pili, Zuberi Foba Masudi ambao utamfanya aendelee kuitumikia timu ya Bilionea Alhaj Sheikh Salim Bakhresa na familia yake hadi mwaka 2027. “Kipa wetu @foba_zubeir, ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2027 baada ya kuongeza mkataba mpya wa miaka miwili,”umesema taarifa ya Azam FC leo. Licha ya kuwa kipa wa pili nyuma ya Mustafa Mohamed wa Sudan, lakini Foba amekuwa na mwendelezo mzuri msimu huu akiwa amedaka mechi tano za mashindano yote bila kuruhusu bao hata moja.
Raducanu crushed by Swiatek in Melbourne
-
Emma Raducanu suffers the joint-heaviest defeat of her career as second
seed Iga Swiatek demonstrates her superiority at the Australian Open.
-
YOUNG Africans have reignited their hopes of reaching the quarterfinals of
the CAF Champions League following a vital 1-0 victory over Al Hilal at
the C...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment