// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
FOUNTAIN GATE NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, SARE 0-0 BABATI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEFOUNTAIN GATE NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, SARE 0-0 BABATI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
FOUNTAIN GATE NA TABORA UNITED HAKUNA MBABE, SARE 0-0 BABATI
WENYEJI, Fountain Gate wametoka sare ya bila mabao na jirani zao, Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Tanzanite Kwaraa mjini Babati mkoani Manyara. Kwa matokeo hayo, Fountain Gate inafikisha pointi 22 na kusogea nafasi ya saba, wakati Tabora United inafikisha pointi 33 na inabaki nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 20.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment