// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
TANZANIA PRISONS YATOA SARE NA TABORA UNITED, 1-1SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINETANZANIA PRISONS YATOA SARE NA TABORA UNITED, 1-1SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
TANZANIA PRISONS YATOA SARE NA TABORA UNITED, 1-1SOKOINE
WENYEJI, Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Beki Mnigeria, Emmanuel Ugochucku Chigozie alianza kujifunga dakika ya 67 kuiipatia Tanzania Prisons bao la kuongoza, kabla ya Emmanuel Samuel kuisawazishia Tabora United dakika ya 82. Kwa matokeo hayo, Tanzania Prisons inafikisha pointi 18, ingawa inabaki nafasi ya 14, wakati Tabora United inafikisha pointi 34, nayo inabaki nafasi ya tano baada ya wote kucheza mechi 21.
F1 in talks to stage Bangkok grand prix
-
Formula 1 chief executive Stefano Domenicali meets with the prime minister
of Thailand to discuss plans for a street-circuit race.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment