// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA YATOKA PATUPU TENA MBWENI, SULUHU NA JKT TANZANIA ISAMUHYO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA YATOKA PATUPU TENA MBWENI, SULUHU NA JKT TANZANIA ISAMUHYO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
YANGA YATOKA PATUPU TENA MBWENI, SULUHU NA JKT TANZANIA ISAMUHYO
MABINGWA watetezi, Yanga wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar es Salaam. Kwa matokeo hayo, Yanga inafikisha pointi 46 katika mchezo wa 18 na kuendelea kuongoza LIgi Kuu kwa pointi mbili zaidi ya Simba, ambao pia wana mechi moja mkononi, wakati JKT Tanzania inafikisha pointi 20 katika mchezo wa 18 pia na kusogea nafasi ya nane.
Over 12 inmates escape in Kogi jailbreak
-
From Emmanuel Adeyemi, Lokoja More than 12 inmates are said to have escaped
after they forcefully broke the walls of Kotonkarfe Federal Prison,
overpower...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment