// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
NAMUNGO FC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINENAMUNGO FC YAICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SOKOINE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
BAO pekee la Ibrahim Joshua dakika ya tatu limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi 21 na kusogea nafasi ya nane, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake 17 nafasi ya 14 kwenye Ligi ya timu 16 baada ya wote kucheza mechi 19.
Senegal face Togo in crucial World Cup Qualifier
-
Senegal will face Togo in a crucial 2026 FIFA World Cup qualifying clash
at Stade Me Abdoulaye Wade, determined to avoid further setbacks in their
campa...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment