MABINGWA watetezi, Yanga watamenyana na Coastal Union ya Tanga katika hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayodhaminiwa na Benki ya CRDB.
Vigogo wengine wa soka nchini, Simba SC watamenyana na TMA Stars ya Arusha, Azam FC na Mbeya City, wakati Singida Black Stars watamenyana na Leo Tena FC ya Bukoba.
Yanga ikivuka hatua hiyo itakutana na mshindi kati ya Polisi Tanzania na Songea FC, wakati Azam FC itakutana na mshindi kati ya Mtibwa Sugar na Town Stars na Simba itacheza na mshindi kati ya Tanzania Prisons na Big Man.
MECHI ZOTE HATUA YA 32 BORA KOMBE LA CRDB
JKT Tanzania Vs Biashara United
Tabora United Vs Transit Camp
Mashujaa FC Vs Geita Gold
Simba SC Vs TMA Star's
AzamFC Vs Mbeya City
Singida Black Stars Vs Leo Tena FC
Yanga SC Vs Coastal Union
Fountain Gate Vs Stand United
Cosmolitan Vs KMC
Mbeya Kwanza Vs Mambali Ushirikiano
Tanzania prisons Vs Bigman FC
Kagera Sugar Vs Namungo FC
Polisi Tanzania Vs Songea United
Kiluvya FC Vs Pamba Jiji
Mtibwa sugar Vs Tows Stars
Girrafu Academy Vs Green Worries
MECHI ZOTE HATUA YA 32 BORA KOMBE LA CRDB
JKT Tanzania Vs Biashara United
Tabora United Vs Transit Camp
Mashujaa FC Vs Geita Gold
Simba SC Vs TMA Star's
AzamFC Vs Mbeya City
Singida Black Stars Vs Leo Tena FC
Yanga SC Vs Coastal Union
Fountain Gate Vs Stand United
Cosmolitan Vs KMC
Mbeya Kwanza Vs Mambali Ushirikiano
Tanzania prisons Vs Bigman FC
Kagera Sugar Vs Namungo FC
Polisi Tanzania Vs Songea United
Kiluvya FC Vs Pamba Jiji
Mtibwa sugar Vs Tows Stars
Girrafu Academy Vs Green Worries
0 comments:
Post a Comment