SULEIMAN GOMEZ AANZA MAZOEZI NA MOTO WYDAD CASABLANCA
MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Suleiman Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ (19) leo ameanza mazoezi na klabu yake mpya, Wydad Athletic Jijini Casablanca nchini Morocco. Mwalimu ameanza mazoezi kwenye kikosi cha Kocha Muafrika Kusini, Rhulani Mokwena siku moja baada ya kutambulishwa kufuatia kujiunga na Wydad AC akitokea Singida Black Stars. GONGA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Rivers: Ibas moves to restore peace
-
• Meets monarchs, council chiefs • Pleads for deescalation of tension
From Tony John, Port Harcourt There was uneasy calm in Rivers State
yesterday as ...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment