GIBRIL SILLAH APIGA MBILI AZAM FC YAICHAPA KMC 2-0 CHAMAZI
WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya KMC, mabao ya winga Mgambia, Gibril Sillah dakika ya 27 na 66 katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Ushindi huo unaifanya Azam FC ifikishe pointi 39, ingawa inabaki nafasi ya tatu nyuma ya Mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 45 na Simba 44 baada ya wote kucheza mechi 17, wakati KMC inabaki na pointi 19 za mechi 17 pia nafasi ya 10.
Abia police kill 6 kidnappers, free 4 victims
-
From Okey Sampson, Umuahia Police in Abia said they have killed six
kidnappers who have been terrorising the Obingwa axis of Aba and rescued
four kidnapp...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment