RONALDO AFIKISHA MECHI TATU BILA BAO ITALIA JUVE IKISHINDA 2-1
Cristiano Ronaldo (katikati) akimpongeza, Mario Mandzukic (kushoto) baada ya kuifungia bao la kwanza dakika ya pili kabla ya kumsetia, Blaise Matuidi kufunga la pili dakika ya 58 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Parma Uwanja wa Ennio Tardini. Bal la Parma limefungwa na Yao Gervinho dakika ya 33PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment