• HABARI MPYA

  Monday, September 24, 2018

  RONALDO AFUNGA TENA JUVENTUS IKISHINDA 2-0 UGENINI SERE A

  Cristiano Ronaldo akikimbilia kushangilia baada ya kuifungia Juventus bao la kwanza dakika ya 81 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Frosinone Uwanja wa Benito Stirpe mjini Frosinone katika mchezo wa Serie A. Bao la pili la Juve limefungwa na Federico Bernardeschi dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA TENA JUVENTUS IKISHINDA 2-0 UGENINI SERE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top