• HABARI MPYA

  Sunday, September 30, 2018

  NEYMAR ALIVYOFURAHI BAADA YA KUIPIGIA MBILI PSG JANA

  Winga Muargentina, Angel Di Maria akimuinua mshambuliaji Mbrazil, Neymar kumpongeza baada ya kuifungia mabao mawili Paris Saint-Germain dakika za 22 na 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Nice kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa jana Uwanja wa Allianz Riviera mjini Nice. Bao lingine la PSG limefungwa na Christopher Nkunku dakika ya 46 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR ALIVYOFURAHI BAADA YA KUIPIGIA MBILI PSG JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top