• HABARI MPYA

  Tuesday, March 09, 2021
  Sunday, March 07, 2021
  YANGA SC YAPOKONYWA TONGE MDOMONI ARUSHA, YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLISI TANZANIA

  YANGA SC YAPOKONYWA TONGE MDOMONI ARUSHA, YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLISI TANZANIA

  Na Mwandishi Wetu, ARUSHA VINARA, Yanga SC leo wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na wenyeji, Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Ku...
  SIMON MSUVA APIGA BAO LA PILI WYDAD CASABLANCA YAICHAPA HOROYA 2-0 LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMON MSUVA APIGA BAO LA PILI WYDAD CASABLANCA YAICHAPA HOROYA 2-0 LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva jana amefunga bao moja klabu yake, Wydad Casablanca ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhi...
  Saturday, March 06, 2021
   SIMBA SC YABISHA HODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA BAADA YA SARE NA EL-MERREIKH LEO SUDAN

  SIMBA SC YABISHA HODI ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA BAADA YA SARE NA EL-MERREIKH LEO SUDAN

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamebisha hodi Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimisha ...
  NAMUNGO FC YAWANYOOSHA KAGERA SUGAR PALE PALE KAITABA, YAWACHAPA 1-0 BAO PEKEE LA SIXTUS SABILO

  NAMUNGO FC YAWANYOOSHA KAGERA SUGAR PALE PALE KAITABA, YAWACHAPA 1-0 BAO PEKEE LA SIXTUS SABILO

  BAO pekee la Sixtus Sabilo dakika ya 68 leo limetosha kuipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba mjini...
  KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI CHATAJWA ILI KUINGIA KAMBINI MARA MOJA KUJIANDAA

  KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI CHATAJWA ILI KUINGIA KAMBINI MARA MOJA KUJIANDAA

  KIKOSI cha timu ya taifa ya soka la Ufukweni, maarufu kama Beach Soccer kimetajwa leo tayari kuingia kambini kujiandaa na mashindano
  KIKOSI CHA TWIGA STARS KITAKACHOWANIA TIKETI YA FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA NA KOMBE LA DUNIA CHATAJWA

  KIKOSI CHA TWIGA STARS KITAKACHOWANIA TIKETI YA FAINALI ZA MATAIFA YA AFRIKA NA KOMBE LA DUNIA CHATAJWA

  KIKOSI cha timu za taifa za wanawake kitakachoingia kambini Machi 10 hadi Machi 22, mwaka huu kujiandaa na mechi za kufuzu Fainali za Kombe ...
  Friday, March 05, 2021
   ANUARY JABIR WA DODOMA JIJI AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI FEBRUARI, KATWILA KOCHA BORA

  ANUARY JABIR WA DODOMA JIJI AWA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI FEBRUARI, KATWILA KOCHA BORA

  MSHAMBULIAJI wa timu ya Dodoma Jiji FC, Anuary Jabir ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Februari, 2021. ...
   SIMBA QUEENS WAICHAPA YANGA PRINCESS 3-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU YA WANAWAKE BARA

  SIMBA QUEENS WAICHAPA YANGA PRINCESS 3-0 NA KUPANDA KILELENI LIGI KUU YA WANAWAKE BARA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya wanawake ya Simba, Simba Queens leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya watani wao, Yanga Pri...
  Thursday, March 04, 2021
   COASTAL UNION WATIBUA REKODI YA YANGA KUTOFUNGWA, WAICHAPA 2-1 MKWAKWANI, KISINDA AKOSA PENALTI

  COASTAL UNION WATIBUA REKODI YA YANGA KUTOFUNGWA, WAICHAPA 2-1 MKWAKWANI, KISINDA AKOSA PENALTI

  Na Mwandishi Wetu, TANGA WENYEJI, Coastal Union wamewaangusha vigogo, Yanga SC baada ya kuwachapa 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania ...
  Wednesday, March 03, 2021
  SIMBA SC WAONDOKA NA AISHI MANULA AKIWA FITI KABISA KUWAFUATA EL MERREIKH NCHINI SUDAN

  SIMBA SC WAONDOKA NA AISHI MANULA AKIWA FITI KABISA KUWAFUATA EL MERREIKH NCHINI SUDAN

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIKOSI cha wachezaji 25 cha Simba SC kimeondoka Dar es Salaam jioni ya leo kwenda Khartoum, Sudan kwa ajili...
  AZAM FC YAWALAMBA KAGERA SUGAR 2-1 KAITABA, WENYEJI WENGINE WOTE NAO WAPIGWA KWAO LIGI KUU

  AZAM FC YAWALAMBA KAGERA SUGAR 2-1 KAITABA, WENYEJI WENGINE WOTE NAO WAPIGWA KWAO LIGI KUU

  TIMU ya Azam FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kat...
  MWIGIZAJI NYOTA WA KIKE NCHINI MONALISA ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA TIMU YA WANAWAKE SIMBA SC

  MWIGIZAJI NYOTA WA KIKE NCHINI MONALISA ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA TIMU YA WANAWAKE SIMBA SC

    MLEZI wa Simba Queens, Fatema Dewji (kulia) akimkaribisha rasmi mwigizaji maarufu, Yvonne Cheryl 'Monalisa' kuwa Msemaji wa timu h...
  Monday, March 01, 2021
  MIQUISSONE AFUNGA BAO MOJA NA KUSETI MOJA SIMBA SC YAWACHAPA JKT TANZANIA 3-0 LIGI KUU DAR

  MIQUISSONE AFUNGA BAO MOJA NA KUSETI MOJA SIMBA SC YAWACHAPA JKT TANZANIA 3-0 LIGI KUU DAR

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendelea kuwapa raha mashabiki na wapenzi wao baada ya ushindi wa mabao 3-0 ...
   SIMON MSUVA AFUNGA WYDAD CASABLANCA YAICHAPA KAIZER CHIEFS 4- LIGI YA MABINGWA OUAGADOUGOU

  SIMON MSUVA AFUNGA WYDAD CASABLANCA YAICHAPA KAIZER CHIEFS 4- LIGI YA MABINGWA OUAGADOUGOU

  N a Mwandishi Wetu, OUAGADOUGOU NYOTA wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amefunga bao moja, timu yake, Wydad Athletic Club, maarufu kama...
  Sunday, February 28, 2021
  SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

  SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

   SIMBA SC itamenyana na Kagera Sugar hapa Dar es Salaam  na Yanga SC itaifuata Tanzania Prisons huko Sumbawanga mkoani Rukwa katika Hatua ya...
  Saturday, February 27, 2021
  PRINCE DUBE MPUMELELO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBUNI 1-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA TFF

  PRINCE DUBE MPUMELELO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBUNI 1-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA TFF

  BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbuni FC katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora...
  YANGA SC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 KWA MBINDE NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  YANGA SC YAICHAPA KEN GOLD 1-0 KWA MBINDE NA KUSONGA MBELE MICHUANO YA AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  BAO la penalti la Mrundi, Fiston Abdul Razak limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Azam Sport...
  Friday, February 26, 2021
  SIMBA SC YAENDELEA KUNG'ARA, YAWATANDIKA AFRICAN LYON 3-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  SIMBA SC YAENDELEA KUNG'ARA, YAWATANDIKA AFRICAN LYON 3-0 NA KUSONGA MBELE AZAM SPORTS FEDERATION CUP

  SIMBA SC imetinga Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup baada ya...
  KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA

  KIM POULSEN AITA WACHEZAJI 43 KIKOSI CHA AWALI TAIFA STARS WAKIWEMO KELVIN YONDAN NA CHILUNDA

  KOCHA mpya wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mdenmark Kim Paulsen ametaja kikosi cha awali cha wachezaji 43 kwa maandalizi ya mechi...
  Thursday, February 25, 2021
  NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA

  NAMUNGO FC YAKAMILISHA BIASHARA VIZURI NA KUTINGA HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA BAADA YA KUWATOA WAANGOLA

  TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkaoni Lindi imefanikiwa kwenda Hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika licha ya kufungwa 3-1 na Primiero ...
  Wednesday, February 24, 2021
  SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO

  SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO

  TANZANIA Boys imepangwa Kundi B pamoja na Algeria, Kongo na Nigeria katika Fainali za AFCON U17 nchini Morocco Julai mwaka huu. Serengeti Bo...
  GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0

  GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0

  MSHAMBULIAJI Mfaransa, Olivier Giroud jana amefunga bao zuri la tik tak dakika ya 68 akiiwezesha Chelsea kushinda 1-0 dhidi ya Atletico Madr...
   MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD CASABLANCA YASHINDA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA

  MSUVA ACHEZA KIPINDI KIMOJA WYDAD CASABLANCA YASHINDA 1-0 UGENINI LIGI YA MABINGWA

  KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana amecheza kipindi kimoja tu, timu yake Wydad Athletic Club, maarufu W...
  Tuesday, February 23, 2021
  SIMBA SC YAITWANGA AL AHLY YA MISRI 1-0 NA KUPANDA KILELENI KUNDI A LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  SIMBA SC YAITWANGA AL AHLY YA MISRI 1-0 NA KUPANDA KILELENI KUNDI A LIGI YA MABINGWA AFRIKA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA wa Tanzania, Simba Sports Club wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ...
  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU CHAMAZI

  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA BILA KUFUNGANA NA TANZANIA PRISONS MECHI YA LIGI KUU CHAMAZI

    AZAM FC wamelazimshwa sare ya 0-0 na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jij...
  NGORONGORO HEROES YATUPWA NJE FAINALI ZA AFCON U20 BAADA YA KUCHAPWA 3-0 NA MOROCCO MAURITANIA

  NGORONGORO HEROES YATUPWA NJE FAINALI ZA AFCON U20 BAADA YA KUCHAPWA 3-0 NA MOROCCO MAURITANIA

  TANZANIA imetupwa nje ya Fainali za Kombe la Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, AFCON U20 baada ya kuchapwa ma...
  Monday, February 22, 2021
  NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO

  NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO

  TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi itapangwa Kundi D itafuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa mujibu wa ratiba iliyo...
  MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR

  MECHI YA CR BELOUIZDAD YA ALGERIA NA MAMELODI SUNDOWNS YA AFRKA KUSINI LIGI YA MABINGWA KUCHEZWA DAR

  SHIRIKISHO la Soka Afrika limeridhia mechi ya hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya CR Belouizdad ya Algeria ichezwe Uwanja wa B...
   NAMUNGO FC YATANGULIZA MGUU MMOJA HATUA YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUICHAPA 1 PRIMIERO DE AGOSTO 6-2

  NAMUNGO FC YATANGULIZA MGUU MMOJA HATUA YA MAKUNDI YA KOMBE LA SHIRIKISHO BAADA YA KUICHAPA 1 PRIMIERO DE AGOSTO 6-2

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Namungo FC imetanguliza mguu mmoja hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi ...
  Sunday, February 21, 2021

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top