• HABARI MPYA

  Thursday, September 27, 2018

  REAL MADRID 'ROJO ROJO', WACHAPWA 3-0 NA SEVILLA LA LIGA

  Mwanasoka Bora wa Dunia, Luka Modric (kushoto) na Gareth Bale wakiwa hoi baada ya Real Madrid kufungwa bao la tatu wakilala 3-0 mbele ya Sevilla katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan mjini Sevilla. Mabao hayo yamefungwa na Andre Silva mawili dakika za 17 na 21 na Wissam Ben Yedder dakika ya 39 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REAL MADRID 'ROJO ROJO', WACHAPWA 3-0 NA SEVILLA LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top