• HABARI MPYA

  Tuesday, August 11, 2020
  MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA KLABU YA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA

  MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA KLABU YA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA

  ALIYEKUWA kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi m...
  LIVERPOOL YASAJILI BEK WA KUSHOTO WA UGIRIKI KWA MKATABA WA MUDA MREFU

  LIVERPOOL YASAJILI BEK WA KUSHOTO WA UGIRIKI KWA MKATABA WA MUDA MREFU

  BEKI wa kushoto, Kostas Tsimikas akisaini mkataba wa muda mrefu kujiunga na Liverpool kwa dau la Pauni Milioni 11.75 kutoka Olympiacos ya...
  Monday, August 10, 2020
  Sunday, August 09, 2020
  SENZO MAZINGISA MBATHA AJIUZULU UTENDAJI MKUU SIMBA, AIBUKIA KWA MAHASIMU YANGA SC

  SENZO MAZINGISA MBATHA AJIUZULU UTENDAJI MKUU SIMBA, AIBUKIA KWA MAHASIMU YANGA SC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MTENDAJI Mkuu wa Simba SC, Senzo Mazingisa Mbatha amejiuzulu nafasi hiyo na inasemekana amejiunga na maha...
  YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA KULIA CHIPUKIZI WA MTIBWA SUGAR, KIBWANA SHOMARY

  YANGA SC YAMSAJILI BEKI WA KULIA CHIPUKIZI WA MTIBWA SUGAR, KIBWANA SHOMARY

  Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga SC, Wakili Patrick Simon  (kulia) akiwa na beki Kibwana Ally Shomari (katikat) baada ya kusaini mkataba wa mia...
  Saturday, August 08, 2020
  NAMUNGO FC YAANZA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE CHA KOMBE LA SHIRIKISHO, YAMSAJILI NYOTA WA LIPULI

  NAMUNGO FC YAANZA KUIMARISHA KIKOSI CHAKE CHA KOMBE LA SHIRIKISHO, YAMSAJILI NYOTA WA LIPULI

  Kiungo Fredy Tangalo akiwa ameshika jezi ya Namungo FC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na wawakilishi hao wa Tanzania k...
  SIMBA YAMTAMBULISHA RASMI MORISSON, YANGA SC WASEMA WATACHUKUA HATUA ZA MFANO

  SIMBA YAMTAMBULISHA RASMI MORISSON, YANGA SC WASEMA WATACHUKUA HATUA ZA MFANO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imemtambulisha winga Mghana, Bernard Morisson kuwa mchezaji wake mpya, huku klabu yake, Yanga SC...
  DODOMA FC YAACHA WACHEZAJI 12 WALIOPANDISHA TIMU LIGI KUU, YASAJILI WATATU WAPYA

  DODOMA FC YAACHA WACHEZAJI 12 WALIOPANDISHA TIMU LIGI KUU, YASAJILI WATATU WAPYA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAADA ya kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao, klabu ya Dodoma Jiji FC imewaacha wachezaji 12 na ...
  Friday, August 07, 2020
  CHAMA ABEBA TUZO MBILI ZA LIGI KUU, WADADA AMSHINDA MWAMNYETO TUZO YA BEKI BORA

  CHAMA ABEBA TUZO MBILI ZA LIGI KUU, WADADA AMSHINDA MWAMNYETO TUZO YA BEKI BORA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO Mzambia, Clatous Chotta Chama ameshinda tuzo mbili katika sherehe za Tuzo za Ligi Kuu ya Tanzania ...
  Thursday, August 06, 2020
  AZAM FC YAMSAJILI DAVID KISSU, KIPA MTANZANIA ALIYEKUWA ANACHEZA SOKA YA KULIPWA NCHINI KENYA

  AZAM FC YAMSAJILI DAVID KISSU, KIPA MTANZANIA ALIYEKUWA ANACHEZA SOKA YA KULIPWA NCHINI KENYA

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imekamilidha usajili wa kipa wa kimataifa wa Tanzania, David Mapigano Kissu aliyesaini m...
  ABDALLAH SHAIBU 'NINJA' ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KAZINI YANGA SC

  ABDALLAH SHAIBU 'NINJA' ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUREJEA KAZINI YANGA SC

  BEKI Abdallah Shaibu ‘Ninja’ (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa klabu, Frederick Mwakalebela (kushoto) na kaimu Katibu Mkuu, Wakili...
  KIUNGO MPYA, AWESU AWESU ALIVYOANZA KUJIFUA AZAM FC JANA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA

  KIUNGO MPYA, AWESU AWESU ALIVYOANZA KUJIFUA AZAM FC JANA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA

  Mchezaji mpya wa Azam FC, Awesu Awesu akimtoka kiungo mwenzake, Mudathir Yahya kwenye mazoezi ya kwanza ya timu hiyo kujiandaa na msimu m...
  WAZIRI JUNIOR ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI, MINZIRO KOCHA BORA

  WAZIRI JUNIOR ABEBA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU MWEZI JULAI, MINZIRO KOCHA BORA

  Na mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga SC, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
  FURAHA YA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA WANAWAKE JANA

  FURAHA YA SIMBA QUEENS BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA WANAWAKE JANA

  Wachezaji wa Simba Queens wakifurahia kutwaa ubingwa wa Ligi ya wanawake Tanzania Bara wakiwa na mechi mbili mkononi – baada ya ushindi w...
  Wednesday, August 05, 2020
  YANGA SC YAVUNJA NA BENCHI LAKE LOTE LA UFUNDI BAADA YA KUFUKUZA NUSU YA WACHEZAJI WAKE

  YANGA SC YAVUNJA NA BENCHI LAKE LOTE LA UFUNDI BAADA YA KUFUKUZA NUSU YA WACHEZAJI WAKE

  Na mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM IKITOKA kuachana na takriban nusu ya wachezaji iliyokuwa nao msimu uliopita, klabu ya Yanga SC pia imevun...
  Tuesday, August 04, 2020
  CLATOUS CHAMA AKABIDHI MSAADA WA FEDHA TASLOMU SH MILIONI MOJA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI

  CLATOUS CHAMA AKABIDHI MSAADA WA FEDHA TASLOMU SH MILIONI MOJA KITUO CHA WATOTO YATIMA KINONDONI

  KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama leo amekabidhi msaada wa Sh. Milioni 1 katika kituo cha watoto yatima cha Maunga kilichopo Kino...
  CHAMA ASHINDANISHWA NA MABEKI NICO WADADA NA MWAMNYETO TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU

  CHAMA ASHINDANISHWA NA MABEKI NICO WADADA NA MWAMNYETO TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chotta Choma atawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhid...
  Monday, August 03, 2020
  AZAM FC YAENDELEA KUJIIMARISHA, YASAJILI KIUNGO MWINGINE FUNDI KUTOKA TANZANIA PRISONS YA MBEYA

  AZAM FC YAENDELEA KUJIIMARISHA, YASAJILI KIUNGO MWINGINE FUNDI KUTOKA TANZANIA PRISONS YA MBEYA

  Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji, Ismail Aziz Kad...
  KAMATI YA NIDHAMU YA TFF YAMFUNGIA EYMAEL MIAKA MIWILI NA KUMTOZA FAINI SH. MILIONI 8

  KAMATI YA NIDHAMU YA TFF YAMFUNGIA EYMAEL MIAKA MIWILI NA KUMTOZA FAINI SH. MILIONI 8

  Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imemfungia aliyekuwa kocha wa Yanga SC, Mbelgiji, Luc...
  Sunday, August 02, 2020
  YANGA SC YAMSAJILI MSHAMBULIAJI WAZIRI JUNIOR WA MBAO FC YA MWANZA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU

  YANGA SC YAMSAJILI MSHAMBULIAJI WAZIRI JUNIOR WA MBAO FC YA MWANZA ILIYOSHUKA DARAJA LIGI KUU

  Mshambuliaji wa Mbao FC, Waziri Junior (kulia) akiwa na Katibu wa Yanga SC, Wakili Simon Patrick baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili...
  SIMBA SC YAICHAPA NAMUNGO FC MABAO 2-1 SUMBAWANGA NA KUTWAA TAJI LA TATU LA MSIMU

  SIMBA SC YAICHAPA NAMUNGO FC MABAO 2-1 SUMBAWANGA NA KUTWAA TAJI LA TATU LA MSIMU

  Na Mwandishi Wetu, SUMBAWANGA KLABU ya Simba imehitimisha msimu wake mzuri baada ya kutwaa taji la tatu kufuatia kuichapa Namungo FC mabao...
  NYOTA WA COASTAL UNION, AYOUB LYANGA ATUA AZAM FC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

  NYOTA WA COASTAL UNION, AYOUB LYANGA ATUA AZAM FC KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji, Ayoub Lyanga, amekamilisha taratibu za kujiunga na Azam FC, baada ya kusaini mkataba...
  ERASTO NYON ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA BAISKELI SHABIKI WAKE KIJANA MDOGO MJINI SUMBAWANGA

  ERASTO NYON ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA BAISKELI SHABIKI WAKE KIJANA MDOGO MJINI SUMBAWANGA

  BEKI wa klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Erasto Edward Nyoni baada ya kumkabidhi baiskeli shabiki wake kijana mdogo, Jumanne Ulimwengu...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top