• HABARI MPYA

  Tuesday, September 25, 2018

  KMC YAENDELEA KUSUASUA LIGI KUU…NA LEO PIA WAMETOKA SARE NA LIPULI UWANJA WA UHURU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  TIMU ya Lipuli ya Iringa imelazimisha sare ya bila kufungana na wenyeji, KMC katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Bara uliofanyika Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam.
  Sare hiyo ya nne msimu huu kwa Lipuli FC inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa Simba SC ya Dar es Salaam, Suleiman Matola inawafanya ‘Wanapaluhengo’ wafikishe pointi saba katika mechi zao tano za awali, wakiwa wameshinda moja tu.
  Na kwa Mbao FC ya kocha Mrundi, Ettienne Ndayiragijje baada ya sare ya leo inafikisha pointi nne ikiwa imecheza mechi tano, kufungwa moja na sare tatu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KMC YAENDELEA KUSUASUA LIGI KUU…NA LEO PIA WAMETOKA SARE NA LIPULI UWANJA WA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top