• HABARI MPYA

  Friday, September 28, 2018

  LIVERPOOL WAKIJIFUA KWENDA KULIPA KISASI KWA CHELSEA DARAJANI

  Wachezaji wa Liverpool, Mohamed Salah na Roberto Firmino wakifanya mazoezi jana viwanja vya Melwood kujiandaa na mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Chelsea Uwanja wa Stamford Bridge London. Liverpool inataka kulipa kisasi baada ya kufungwa 2-1 juzi katika mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa Anfiled na kutolewa mapema kwenye michuano hiyo maarufu kama Carabao Cup 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL WAKIJIFUA KWENDA KULIPA KISASI KWA CHELSEA DARAJANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top