• HABARI MPYA

  Sunday, September 30, 2018

  CRISTIANO RONALDO JANA ALISETI MBILI JUVE IKIUA 3-1 SERIE A

  Cristiano Ronaldo wa akionyesha uwezo wake katika mchezo wa Serie A Juventus ikishinda 3-1 dhidi ya Napoli Uwanja wa Allianz mjini Torino. Ronaldo aliwasetia Mario Mandzukic kufunga bao la kwanza dakika ya 26 na Leonardo Bonucci la tatu dakika ya 76. Mandzukic alifunga pia la pili dakika ya 49, wakati bao la Napoli lilifungwa na Dries Mertens dakika ya 10 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CRISTIANO RONALDO JANA ALISETI MBILI JUVE IKIUA 3-1 SERIE A Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top