• HABARI MPYA

  Monday, December 30, 2019
  DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0

  DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0

  Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 82 akitoka kumpasia Sergio Aguero kufunga la kwanza...
  Sunday, December 29, 2019
  KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA

  KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA

  WACHEZAJI wa kikosi cha Sigara FC kabla ya moja ya mechi zake mwaka 1991 kutoka kulia waliosimama; Patrick Mwangata, Idd Nassoro ‘Cheche’...
  Friday, December 27, 2019
  LIVERPOOL 'MOTO FIRE' YAILIPUA LEICESTER 4-0 PALE PALE KING POWER

  LIVERPOOL 'MOTO FIRE' YAILIPUA LEICESTER 4-0 PALE PALE KING POWER

  Beki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold akishangilia kibabe mbele ya mashabiki wao baada ya kufunga bao la nne dakika ya 78 akimalizia ...
  Thursday, December 26, 2019
  MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO

  MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tanzania Prisons na Yanga SC ya Dar es Salaam uliok...
  Wednesday, December 25, 2019
  Tuesday, December 24, 2019
  Monday, December 23, 2019
  SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI

  SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametokea benchi nusu saa ya mwisho, timu ...
  Sunday, December 22, 2019
  DE GEA 'ATOA BOKO' MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATFORD VICARAGE ROAD

  DE GEA 'ATOA BOKO' MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATFORD VICARAGE ROAD

  Kipa wa Manchester United,  David de Gea akisikitika baada ya kufanya makosa yaliyomuwezesha Ismaila Sarr kuifungia Watford bao la kwanza...

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top