• HABARI MPYA

  Saturday, September 22, 2018

  SALAH AREJEA ANGA ZA MABAO LIVERPOOL YAUA 3-0 ANFIELD

  Mshambuliaji Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la tatu dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Southampton leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya 10 na Joel Matip dakika ya 21 huo ukiwa ushindi wa saba mfululizo kwa Wekundu hao tangu kuanza kwa msimu huu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SALAH AREJEA ANGA ZA MABAO LIVERPOOL YAUA 3-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top