• HABARI MPYA

  Thursday, September 27, 2018

  WELBECK AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-1 KOMBE LA LIGI

  Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za tano na 37 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Brentford kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabo Cup usiku wa Jumatano wa Emirates mjini London. Bao lingine la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WELBECK AFUNGA MAWILI ARSENAL YASHINDA 3-1 KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top