• HABARI MPYA

    Friday, January 16, 2026

    AHOUA AONDOKA SIMBA SC, AJIUNGA NA CR BELOUIZDAD


    KIUNGO Muivory Coast, Jean Charles Ahoua (23) amejiunga na CR Belouizdad ya Algeria kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba SC.
    Kocha Mjerumani Sead Ramović mwenye asili ya Bosnia & Herzegovina alivutiwa na Ahoua wakati anafundisha Yanga ya Tanzania ambao ni wapinzani wa jadi wa Simba na sasa ametimiza ndoto za kufanya kazi na mchezaji huyo.
    Ahoua aliwasili Simba SC Julai mwaka 2024 akitokea Stella Club aliyojiunga nayo Julai 2022 baada ya awali kuchezea Séwé Sports na LYS Sassandra zote za kwao, Ivory Coast.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AHOUA AONDOKA SIMBA SC, AJIUNGA NA CR BELOUIZDAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top