• HABARI MPYA

    Saturday, October 31, 2020
    YANGA SC YASHINDA MECHI YA SABA MFULULIZO LIGI KUU, YAIPIGA BIASHARA UNITED 1-0 MUSOMA

    YANGA SC YASHINDA MECHI YA SABA MFULULIZO LIGI KUU, YAIPIGA BIASHARA UNITED 1-0 MUSOMA

    Na Mwandishi Wetu, MUSOMA VIGOGO, Yanga SC wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya w...
     SIMBA SC WAZINDUKA KUTOKA KWENYE VIPIGO VIWILI MFULULIZO NA KUITANDIKA MWADUI FC 5-0

    SIMBA SC WAZINDUKA KUTOKA KWENYE VIPIGO VIWILI MFULULIZO NA KUITANDIKA MWADUI FC 5-0

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wamezinduka kutoka kwenye vipigo viwili mfululizo baada ya kuichapa Mwadui FC m...
    TWAHA KIDUKU AMSHINDA BONDIA WA THAILAND TKO RAUNDI YA SABA

    TWAHA KIDUKU AMSHINDA BONDIA WA THAILAND TKO RAUNDI YA SABA

    BONDIA, Twaha Kassim Rubaha (kushoto), maarufu kwa jina la utani Twaha 'Kiduku usiku wa jana amesmhinda kwa Technical Knockout (TKO) rau...
    Friday, October 30, 2020
    SURE BOY AINUSURU AZAM FC KUFUNGWA NYUMBANI, YATOA SARE 1-1 NA JKT TANZANIA CHAMAZI

    SURE BOY AINUSURU AZAM FC KUFUNGWA NYUMBANI, YATOA SARE 1-1 NA JKT TANZANIA CHAMAZI

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanz...
    KIKOSI CHA YANGA SC CHAZURU KABURI LA MWALIMU NYERERE NA KUMKABIDHI JEZI MAMA MARIA

    KIKOSI CHA YANGA SC CHAZURU KABURI LA MWALIMU NYERERE NA KUMKABIDHI JEZI MAMA MARIA

    Mwenyekiti wa Yanga SC, Dk Mshindo Msolla akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, Mama Maria Nyerere, mjane wa baba taifa, marehemu Mwalimu Julius K...
    MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA

    MORRISON KUWA NDUGU MTAZAMAJI SIMBA NA YANGA NOVEMBA 7, AFUNGIWA MECHI TATU KWA KULETA UBONDIA KWENYE SOKA

    WINGA Mghana wa Simba SC ataukosa mchezo dhidi ya mahasimu na timu yake ya zamani, Yanga SC Novemba 7 baada ya kufungiwa mechi tatu kwa kump...
    JUMA NYOSSO AFUNGIWA MECHI TATU KWA KUMKANYAGA MORRISON MECHI YA RUVU NA SIMBA SC

    JUMA NYOSSO AFUNGIWA MECHI TATU KWA KUMKANYAGA MORRISON MECHI YA RUVU NA SIMBA SC

    BEKI wa Ruvu Shooting, Juma Said Nyosso amefungiwa mechi tatu kwa tuhuma za kumkanyaga kwa makusudi kiungo Mghana wa Simba SC, Bernard Morri...
    REFA SHOAMRI LAWI AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUBORONGA MECHI YA PRISONS NA SIMBA SUMBAWANGA

    REFA SHOAMRI LAWI AFUNGIWA MWAKA MZIMA KWA KUBORONGA MECHI YA PRISONS NA SIMBA SUMBAWANGA

    REFA Shomary Lawi wa Kigoma amefungiwa mwaka mmoja kwa tuhuma za kushindwa kuumudu mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tan...
    Thursday, October 29, 2020
    NEYMAR AUMIA, PSG YASHINDA 2-0 UTURUKI LIGI YA MABINGWA

    NEYMAR AUMIA, PSG YASHINDA 2-0 UTURUKI LIGI YA MABINGWA

    Mshambuliaji Neymar akitoka nje dakika ya 27 baada ya kuumia kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain ikishinda ...
    MESSI APIGA LA PILI BARCELONA YAICHAPA JUVENTUS 2-0 TORINO

    MESSI APIGA LA PILI BARCELONA YAICHAPA JUVENTUS 2-0 TORINO

    Wachezaji wa Barcelona wakimpongeza Nahodha wao, Lionel Messi baada ya kufunga bao la pili dakika ya 90 na ushei kufuatia Ousmane Dembele ku...
    RASHFORD APIGA HAT TRICK MAN UNITED YAIPIGA LEIPZIG 5-0

    RASHFORD APIGA HAT TRICK MAN UNITED YAIPIGA LEIPZIG 5-0

    Mshambuliaji Marcus Rashford akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao matatu dakika za 74, 78 na 90 na ushei katika ushindi w...
    Wednesday, October 28, 2020
    BAYERN YAENDELEZA UBABE ULAYA, YAICHAPA LOKOMOTIV 2-1 MOSCOW

    BAYERN YAENDELEZA UBABE ULAYA, YAICHAPA LOKOMOTIV 2-1 MOSCOW

    Kiungo Joshua Kimmich akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la ushindi dakika ya 79 ikiwalaza wenyeji, Lokomotiv Moscow 2-1 kwen...
    SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA

    SALAH APIGA LA PILI LIVERPOOL YASHINDA 2-0 LIGI YA MABINGWA

    Mohamed Salah (kushoto) akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili kwa penalti dakika ya 90 na ushei kufuatia Diogo Jota kufunga ...
    Monday, October 26, 2020
    MTIBWA SUGAR WAICHAPA AZAM FC 1-0 BAO LA KIPINDI CHA PILI LA JAFFAR SALUM KIBAYA GAIRO

    MTIBWA SUGAR WAICHAPA AZAM FC 1-0 BAO LA KIPINDI CHA PILI LA JAFFAR SALUM KIBAYA GAIRO

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO pekee la Jaffar Salum Kibaya dakika ya 62 limetosha kuipa Mtibwa Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC ...
    MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC WAPIGWA TENA, WACHAPWA 1-0 NA RUVU SHOOTING UHURU

    MABINGWA WATETEZI, SIMBA SC WAPIGWA TENA, WACHAPWA 1-0 NA RUVU SHOOTING UHURU

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wamepoteza mechi ya pili mfululizo ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuchap...
    SAMATTA ACHEZA KWA DAKIKA 88 FENERBAHCE YAICHAPA TRABZONSPOR 3-1 LIGI KUU YA UTURUKI

    SAMATTA ACHEZA KWA DAKIKA 88 FENERBAHCE YAICHAPA TRABZONSPOR 3-1 LIGI KUU YA UTURUKI

    NAHODHA wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana alicheza kwa dakika 88, Fenerbahce ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Trabzonspor Uwanja wa F...
    Sunday, October 25, 2020
    YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KMC 2-1 KIRUMBA

    YANGA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YATOKA NYUMA NA KUICHAPA KMC 2-1 KIRUMBA

    Na Mwandishi Wetu, MWANZA VIGOGO, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya wenyeji wahamiaji, KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya...
    Saturday, October 24, 2020
    Friday, October 23, 2020
    YANGA SC YAMSIMAMISHA UANACHAMA 'MAMA MANJI' KWA TUHUMA ZA KUMPAKAZA "SHOMBO" DK MSOLLA

    YANGA SC YAMSIMAMISHA UANACHAMA 'MAMA MANJI' KWA TUHUMA ZA KUMPAKAZA "SHOMBO" DK MSOLLA

      KLABU ya Yanga imemsimamisha uanachama Bahati Mwakalinga 'Mama Manji' kwa tuhuma za kumpakazia maneno ya uongo, Mwenyekiti Dk Mshi...
    KOCHA JULIO AIBUKA TENA, AITA WACHEZAJI 52 KUUNDA KIKOSI CHA AWALI CHA NGORONGORO HEROES

    KOCHA JULIO AIBUKA TENA, AITA WACHEZAJI 52 KUUNDA KIKOSI CHA AWALI CHA NGORONGORO HEROES

      KOCHA Jamhuri Mussa Kihwelo 'Julio' ameita wachezaji 52 katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka...
    BAADA YA UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA, MECHI ZAKE ZOTE ZA LIGI KUU ZAHAMISHIWA UWANJA WA UHURU

    BAADA YA UWANJA WA TAIFA KUFUNGWA, MECHI ZAKE ZOTE ZA LIGI KUU ZAHAMISHIWA UWANJA WA UHURU

      BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imesema kwamba kufuatia Uwanja wa Taifa kufungwa, mechi zote zilizokuwa zichezwe kwenye Uwanja huo z...
    MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU TANZANIA BARA KUJIUNGA NA MACCABI TEL-AVIV YA ISRAEL

    MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI LIGI KUU TANZANIA BARA KUJIUNGA NA MACCABI TEL-AVIV YA ISRAEL

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZAJI Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Novatus Dismas atajiunga na klabu ya Maccabi Tel-Aviv...
    AZAM FC YAENDELEZA UBABE, YAICHAPA KVZ YA ZANZIBAR 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI

    AZAM FC YAENDELEZA UBABE, YAICHAPA KVZ YA ZANZIBAR 1-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI CHAMAZI

    Beki Oscar Maasai akiugulia maumivu baada ya kuifungia Azam FC bao pekee dakika ya tano katika ushindi wa 1-0 dhidi ya KVZ ya Zanzibar kweny...
    Thursday, October 22, 2020
    MABINGWA WAPIGWA SUMBAWANGA, SIMBA SC WACHAPWA 1-0 NA TANZANIA PRISONS MANDELA

    MABINGWA WAPIGWA SUMBAWANGA, SIMBA SC WACHAPWA 1-0 NA TANZANIA PRISONS MANDELA

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC leo wamepoteza mechi ya kwanza ya msimu katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ...
    ‘TEACHER’ MUKOKO TONOMBE APIGA BAO PEKEE YANGA SC YAWACHAPA POLISI TANZANIA 1-0 UHURU

    ‘TEACHER’ MUKOKO TONOMBE APIGA BAO PEKEE YANGA SC YAWACHAPA POLISI TANZANIA 1-0 UHURU

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA mpya, Mrundi Cedric Kaze ameanza na ushindi mwembamba wa Yanga SC baada ya kuiongoza timu hiyo kwa ma...
    REAL YACHAPWA 3-2 NA SHAKHTAR DONETSK PALE PALE MADRID

    REAL YACHAPWA 3-2 NA SHAKHTAR DONETSK PALE PALE MADRID

    Kipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois akienda kuokota mpira nyavuni baada ya Raphael Varane kujifunga dakika ya 33 katika ushindi wa 3-2 wa ...
    LIVERPOOL YAWACHAPA AJAX 1-0 AMSTERDAM BAO LA KUJIFUNGA WENYEWE

    LIVERPOOL YAWACHAPA AJAX 1-0 AMSTERDAM BAO LA KUJIFUNGA WENYEWE

    Wachezaji wa Liverpool (kulia) wakishangilia baada ya Nicolas Tagliafico kujifunga dakika ya 35 kuwapa ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa Kundi...
    Wednesday, October 21, 2020
    AMRI SAID ATUPIWA VIRAGO MBEYA CITY KUTOKANA NA MWENENDO MBAYA WA TIMU LIGI KUU

    AMRI SAID ATUPIWA VIRAGO MBEYA CITY KUTOKANA NA MWENENDO MBAYA WA TIMU LIGI KUU

    Na Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Mbeya City imeachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Amri Said Juma ‘Stam’ kutokana na mwendendo mba...
    MORATA APIGA ZOTE MBILI JUVE YAILAZA DYNAMO KYIV 2-0

    MORATA APIGA ZOTE MBILI JUVE YAILAZA DYNAMO KYIV 2-0

    Alvaro Morata akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Juventus mabao yote dakika ya 46 na 84 ikiwalaza wenyeji, FC Dynamo Kyiv 2-0 katika ...
    MESSI AFUNGA LA KWANZA BARCELONA YASHINDA 5-1 CAMP NOU

    MESSI AFUNGA LA KWANZA BARCELONA YASHINDA 5-1 CAMP NOU

    Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kwanza dakika ya 27 kwa penalti katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Ferencvaros kwe...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top