• HABARI MPYA

  Thursday, September 27, 2018

  HAZARD ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA LA USHINDI CHELSEA IKIICHAPA 2-1 LIVERPOOL

  Mshambuliaji Mbelgiji, Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 85 ikiilaza Liverpool 2-1 usiku wa Jumatano Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao. Hazard alifunga bao hilo baada ya kuingia dakika ya 56 kuchukua nafasi ya Willian, wakati bao lingine la Chelsea limefungwa na Emerson dakika ya 79, baada ya Daniel Sturridge kutangulia kuifungia bao zuri Liverpool dakika ya 58 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HAZARD ATOKEA BENCHI KUIFUNGIA LA USHINDI CHELSEA IKIICHAPA 2-1 LIVERPOOL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top