• HABARI MPYA

  Saturday, September 22, 2018

  AGUERO ASAINI MKATABA MANCHESTER CITY HADI MWAKA 2021

  Mshambuliaji Sergio Aguero akiwa ameshika jezi yake baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kufanya kazi kwa mwaka mmoja zaidi Manchester City hadi mwaka 2021 kwa mshahara wa Pauni 220,000 kwa wiki. Aguero, mwene umri wa miaka 30, amefunga mabao zaidi ya 200 tangu amejiunga na Man City mwaka 2011 na ndiye mfungaji bora wa muda wote wa klabu baada ya Novemba mwaka jana kuvunja rekodi ya miaka 78 iliyowekwa na Eric Brook 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO ASAINI MKATABA MANCHESTER CITY HADI MWAKA 2021 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top