• HABARI MPYA

  Sunday, September 23, 2018

  AUBAMEYANG APIGA LA PILI ARSENAL YAICHAPA EVERTON 2-0 EMIRATES

  Mshambuliaji Mgabon, Pierre-Emerick Aubameyang akibinuka sarakasi kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la kwanza lilifungwa na mshambuliaji Mfaransa, Alexandre Lacazette dakika ya 56 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AUBAMEYANG APIGA LA PILI ARSENAL YAICHAPA EVERTON 2-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top