• HABARI MPYA

  Sunday, September 23, 2018

  TOTTENHAM YAIBAMIZA BRIGHTON 2-1 PALE PALE THE AMEX

  Erik Lamela (kushoto) akishangilia na Danny Rose (wa pili kushoto), Harry Kane (wa pili kulia) na Lucas Moura (kulia) baada ya kuifungia Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 76 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Brighton & Hove Albion Uwanja wa The AMEX. Bao la kwanza la Spurs lilifungwa na Kane kwa penalti dakika ya 42 wakati la Brighton limefungwa na Anthony Knockaert dakika ya 90 na ushei 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TOTTENHAM YAIBAMIZA BRIGHTON 2-1 PALE PALE THE AMEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top