• HABARI MPYA

    Thursday, January 15, 2026

    MUZAMIL YASSIN APELEKWA KWA MKOPO TRA UNITED


    KLABU ya Simba imemtoa kiungo wake mkongwe, Muzamil Yassin Said Selemba kwenda TRA United kwa mkopo wa hadi mwisho wa msimu.
    Muzamil amekuwa mchezaji wa Simba SC kwa miaka 10 sasa tangu amewasili Januari mwaka 2016 kutoka Mtibwa Sugar ya Morogoro. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MUZAMIL YASSIN APELEKWA KWA MKOPO TRA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top