Wageni wa heshima wakisalimiana na wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Freddy Mbuna, Said Maulid ‘SMG’, Abdulkadir Mohammed ‘Tashi’ na Edibily Lunyamila kabla ya mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC Februari 17, mwaka 2001 Uwanja wa Uhuru, sasa Taifa mjini Dar es Salaam. Yangs ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Lunyamila dakika ya 47 na AllyYussuf 'Tigana' dakika ya 80 la Simba likifungwa na Steven Mapunda 'Garrincha' dakika ya 43.
Olympics shock as star makes stunning defection to Australia - and he could
challenge Gout Gout
-
New Zealand's fastest man Eddie Osei-Nketia has officially changed
allegiances in a move that could have major ramifications for Australian
sprinting ahead...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment