• HABARI MPYA

  Sunday, December 30, 2018
  POGBA APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-1

  POGBA APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-1

  Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya tano na 33 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya AFC Bournem...
  Saturday, December 29, 2018
  FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA ARSENAL 5-1

  FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA ARSENAL 5-1

  Roberto Firmino akipongezwa na wachezaji wenzake, Jordan Henderson (kushoto), Xherdan Shaqiri (wa pili kuia) na Mohamed Salah baada ya ku...
  RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A

  RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A

  Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus dakika ya pili akimalizia pasi ya Paulo Dybala na dakika ya 65 kw...
  AZAM YAANZA KUJITOA MBIO ZA UBINGWA, YACHAPWA 2-0 NA MTIBWA MANUNGU

  AZAM YAANZA KUJITOA MBIO ZA UBINGWA, YACHAPWA 2-0 NA MTIBWA MANUNGU

  Na Mwandishi Wetu, MOROGORO TIMU ya Azam FC imeanza kujiondoa kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuchapwa mabao ...
  Friday, December 28, 2018
  AFRIKA MASHARIKI YAPEWA VIGOGO KOMBE LA SHIRIKISHO

  AFRIKA MASHARIKI YAPEWA VIGOGO KOMBE LA SHIRIKISHO

  TIMU za Afrika Mashariki, Gor Mahia ya Kenya, Vipers SC na KCCA ya Uganda zimepangiwa wapinzani wagumu katika mechi za mchujo wa kuwania ku...
  LIVERPOOL WAKO TAYARI KWA MECHI NA ARSENAL KESHO ANFIELD

  LIVERPOOL WAKO TAYARI KWA MECHI NA ARSENAL KESHO ANFIELD

  Xherdan Shaqiri akifurahia na mchezaji mwenzake, Sadio Mane wakati wa mazoezi ya Liverpool kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhi...
  Thursday, December 27, 2018
  SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO GENK IKISHINDA 3-1 LIGI YA UBELGIJI

  SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO GENK IKISHINDA 3-1 LIGI YA UBELGIJI

  Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ameendeleza makali yake ya kufunga, timu yake, KRC...
  LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA KUANZA JUMAMOSI

  LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA KUANZA JUMAMOSI

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite inatarajia kuanza Jumamosi ya Desemba 29, 2018 ikishirikis...
  HAZARD AFIKISHA MABAO 100 CHELSEA IKIICHAPA 2-1 WATFORD

  HAZARD AFIKISHA MABAO 100 CHELSEA IKIICHAPA 2-1 WATFORD

  Mshambuliaji Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 na ushei, likiwa bao lake la 100 tangu ajiung...
  ARSENAL WAAMBULIA SARE KWA BRIGHTON & HOVE ALBION, 1-1

  ARSENAL WAAMBULIA SARE KWA BRIGHTON & HOVE ALBION, 1-1

  Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi ...
  LEICESTER CITY YAIPIGA MANCHESTER CITY 2-1 KING POWER

  LEICESTER CITY YAIPIGA MANCHESTER CITY 2-1 KING POWER

  Wilfried Ndidi wa Leicester City akiuwahi mpira dhidi ya Kevin De Bruyne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power m...
  POGBA ALIPOFUNGA MAWILI MAN UNITED IKISHINDA 3-1

  POGBA ALIPOFUNGA MAWILI MAN UNITED IKISHINDA 3-1

  Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United jana dakika za 64 na 78 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Huddersf...
  Wednesday, December 26, 2018

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  MAKALA

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  BIN ZUBEIRY WIKI HII

  Scroll to Top