Marco Asensio akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao pekee dakika ya 41 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Ushindi huo unaipeleka Real kileleni ikifikisha pointi 13 baada ya kucheza mechi tano, ingawa inaweza kuachia kiti leo iwapo Barcelona yenye pointi 12 itashinda mechi yake ya tano dhidi ya Girona Jumapili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jurgen Klopp Slams Translator over Wrong Jordan Henderson Quote
-
Liverpool manager Jurgen Klopp was annoyed after a German translator
misquoted Jordan Henderson during a press conference previewing the clash
with Red Bul...
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment