• HABARI MPYA

  Friday, November 30, 2018
  Thursday, November 29, 2018
  SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA 16 BORA

  SPURS YAITWANGA INTER MILAN 1-0 NA KUFUFUA MATUMAINI YA 16 BORA

  Christian Eriksen akitimua mbio kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspuer bao pekee dakika ya 80 ikiichapa Inter Milan 1-0 katika...
  MESSI AIPELEKA BARCELONA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  MESSI AIPELEKA BARCELONA 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Barcelona dakika ya 70 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, PSV kwenye mche...
  NEYMAR AWAUA LIVERPOOL PARC DES PRINCES, WAFA 2-1 KWA PSG

  NEYMAR AWAUA LIVERPOOL PARC DES PRINCES, WAFA 2-1 KWA PSG

  Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la ushindi dakika ya 37 ikiilaza Liverpool 2-1 katika mchezo wa Kundi C Li...
  Wednesday, November 28, 2018
  BOMU LALIPULIWA UWANJANI MECHI YA LIGI YA MABINGWA UGIRIKI

  BOMU LALIPULIWA UWANJANI MECHI YA LIGI YA MABINGWA UGIRIKI

  Bomu la Petroli lililolipuliwa na mashabiki wa AEK Athens jukwaani Uwanja wa Olympiako Spyros Louis mjini Athens, Ugiriki katika mchezo w...
  ROBBEN, LEWANDOWSKI WAPIGA MBILI MBILI BAYERN YASHINDA 5-1

  ROBBEN, LEWANDOWSKI WAPIGA MBILI MBILI BAYERN YASHINDA 5-1

  Arjen Robben akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la kwanza dakika ya 13 kabla ya kufunga na la pili dakika ya 30 katika ush...
  RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA JUVE IKISHINDA 1-0

  RONALDO AMSETIA MANDZUKIC KUIFUNGIA JUVE IKISHINDA 1-0

  Cristiano Ronaldo wa Juventus (kulia) akimtoka kiungo Mdenmark wa Valencia, Daniel Wass katika mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya j...
  AGUERO AINUSURU MAN CITY KUCHAPWA NA LYON UFARANSA, SARE 2-2

  AGUERO AINUSURU MAN CITY KUCHAPWA NA LYON UFARANSA, SARE 2-2

  Sergio Aguero akinyoosha mkono juu kishujaa kufurahia bao la kusawazisha aliloifungia Manchester City dakika ya 83 ikipata sare ya 2-2 ug...
  FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  FELLAINI AIPELEKA MAN UNITED 16 BORA LIGI YA MABINGWA ULAYA

  Marouane Fellaini (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 90 na ushei ikiilaza Young Boys ...
  MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC

  MBARAKA YUSSUF APELEKWA KWA MKOPO NAMUNGO FC, MAHUNDI ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI AZAM FC

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imewatoa kwa mkopo wachezaji wake wanne, akiwemo mshambuliaji Mbaraka Yussuf Abeid aliye...
  Tuesday, November 27, 2018
  Monday, November 26, 2018

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  HABARI ZA AFRIKA

  HABARI ZA KIMATAIFA

  NDONDI

  MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

  MAKALA

  Scroll to Top