• HABARI MPYA

  Saturday, September 29, 2018

  LIVERPOOL YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO, YAPATA SARE 1-1 CHELSEA

  Mshambuliaji Mbelgiji wa Chelsea, Eden Hazard akipasua katikati ya mabeki chipukizi wa Waingereza wa Liverpool, Joe Gomez na Trent Alexander-Arnold katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Chelsea ilitangulia kwa bao la Hazard dakika ya 25 akimalizia pasi ya Mateo Kovacic kabla ya Daniel Sturridge kuisawazishia Liverpool dakika ya 89 akimalizia pasi ya Xherdan Shaqiri 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YACHOMOA DAKIKA YA MWISHO, YAPATA SARE 1-1 CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top