• HABARI MPYA

  Thursday, September 27, 2018

  WEST HAM YAICHAPA 8-0 MACCLESFIELD KOMBE LA LIGI

  Kiungo zao la timu ya vijana, Grady Diangana akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili West Ham United dakika za 67 na 82 katika ushindi wa 8-0 dhidi ya Macclesfield kwenye mchezo wa Kombe la Ligi England Uwanja wa London. Mabao mengine ya West Ham yamefungwa na Michail Antonio dakika ya 29, Robert Snodgrass mawili dakika za 32 na 60, Lucas Perez dakika ya 39, Ryan Fredericks dakika ya 51 na Angelo Ogbonna dakika ya 54 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WEST HAM YAICHAPA 8-0 MACCLESFIELD KOMBE LA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top