• HABARI MPYA

  Saturday, September 22, 2018

  MAHREZ AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA 5-0 CARDIFF CITY

  Wachezaji wa Manchester City wakimpongeza Ryad Mahrez baada ya Mualgeria huyo kufunga mabao mawili dakika ya 67 na 89 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya wenyeji Cardiff City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Cardiff City. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 32, Bernardo Silva dakika ya 35 na İlkay Gundogan dakika ya 44 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAHREZ AFUNGA MAWILI MAN CITY YAICHAPA 5-0 CARDIFF CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top