• HABARI MPYA

  Sunday, September 02, 2018

  BENZEMA AFUNGA MAWILI REALYASHINDA 4-1 LA LIGA

  Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia na beki Mspaniola, Sergioa Ramos baada ya wote kufunga katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Leganes katika mchezo wa La Liga Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid. Benzema amefunga mabao mawili dakika za 48 na 61, Ramos dakika ya 66 na lingine, Gareth Bale dakika ya 17 na Sergio Ramos dakika ya 66 kwa penalti, wakati la Leganes limefungwa na Giudo Carillo kwa penalti dakika ya 24 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BENZEMA AFUNGA MAWILI REALYASHINDA 4-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top